StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

November 2, 2012

HUYU NDIYE YULE MWIZI WA MBUZI ALIYEPIGWA NA KUTEMBEZWA MTUPU

Tweeted this Like this, be the first of your Friends








Sakata hilo limetokea huko Nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja mbaye jina lake halikuweza kutambulika mara moja alikamatwa na wananchi wenye Hasira kali kwa tuhuma za Wizi wa mbuzi.
Matukio kama hayo yamekuwa yakiongezeka kwa wingi nchini Nigeria ikifikia hatua wafugaji kulala katika mazizi ya wanyama wao.

Timbwili timbwili hili lilichukua ukurasa mwingine baada ya Wananchi hao ambao walionyeshwa kuchoshwa na hali hiyo ya kuibiwa mifugo yao, pale walipomvua NGUO zote bwana huyo na kubaki UCHI wa mnyama huku wakishambuliwa kwa mawe.

Juhudi za polisi kutoka katika kituo cha karibu ndio ambazo ziliweza kunusuru UHAI wa jamaa huyo ambaye hata hivyo hali yake ilikuwa HOI kabisa

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat