Burudani haina mipaka... ikikolea mpaka kwa mshabiki huwa najitahidi nifike.........
Hatuishii juu ya stage...... popote kwetu ni burudani....Diamond
Nawashukuru sana wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na wasanii wenzangu
wanaoishi hapa.... There is something good about this City....
Might host my Own show in here(future plans) Alisema msanii Diamond
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!