Waziri
wa Mawasiliano na Miundombinu mjini Zanzibar, Hamad Masoud amejiuzulu
wadhifa wake baada ya kuwepo kwa shinikizo la kuachia ngazi lilitoka kwa
wananchi. Hatua hii imekuja kufuatia madai ya wananchi kuwa ajali za meli zimekuwa zikiongezeka mjini Zanzibar bila yeye kuchukua hatua. Tutatoa habari zaidi kesho 24 july 2012 |
July 24, 2012
Ajali ya MV Skagit: Waziri Zanzibar ajiuzulu
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!