
Mchezaji wa timu ya Simba ya Tanzania akijaribu kuondoka na mpira kuelekea golini mwa timu ya Azam FC katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii ikiwa ni michuano ya Kombe la Kagame. Azam FC imeinyuka Simba mabao 3-1.
Share it with your friends!
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!