StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 24, 2012

Chadema Arusha kuendeleza mikutano ya hadhara

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Ratiba yetu ya mikutano ya hadhara ni kama ifuatavyo

Julai 25.Kata ya Themi
Julai 26.Kata ya Kaloleni
Julai 27.Kata ya Sombetini
Julai 29.Kata ya Elerai
Julai 30 Kata ya Daraja mbili
Agosti 1.Kata ya Kimandolu
Ratiba hii ni kwa awamu ya kwanza,baada yah ii awamu tutakuja tena na ratiba kwenye maeneo mengine.Ungana nasi katika harakati hizi za ukombozi,kwa kutuchangia kupitia namba ya m-pesa 0758003509
 
BY EPHATA NANYARO
CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini
P.o.box 12525
Arusha
Ngarenaro h/se no 8
NHC street

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat