Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Hii
ni picha ya Diamond akiwa hospitali baada ya kubanwa ghafla na kifua na
hivyo kwenda kufanyiwa uchunguzi ili kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy
Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo
amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo vyake yatatoka kesho.
Miezi
ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa
mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni
sababu.
Kupitia Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."
Tunamwombea Diamond apone haraka.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!