Nelson Rolihlahla Mandela.
Mzee Nelson Rolihlahla Mandela
leo anasherehekea kutimiza miaka 94 tangu azaliwe. Mzee Mandela
aliyewahi kuwa rais wa Afrika Kusini tangu mwaka 1994 mpaka 1999
alizaliwa Julai 18, 1918 Julai
18, 2012 ametimiza miaka 94. Tunamtakia kila la heri mzee Mandela
ambaye ametoa mchango mkubwa kwa bara la Afrika pamoja na nchi yake ya
Afrika Kusini.July 18, 2012
HAPPY BIRTHDAY MZEE NELSON MANDELA
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!