Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe(kulia) pamoja na Balozi
wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Joram Biswaro(Katikati) wakati wa
kikao maalimu cha nchi za Maziwa Makuu kilichofanyika sambamba na
Mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa
Ethiopia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan Omar Hassan el Bashir wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea jijini Addis Ababa Ethiopia. |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wanchi za Afrika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) jijini Addis Ababa Ethiopia jana.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!