Mdau
mwenzetu kutoka Mbeye Yetu Blog,Bwa. Joseph Mwaisango ametuletea habari
ya kuvunjika vunjika hivi punde kutoka mkoani Mbeya,kuwa kuna ajali
mbaya imetokea muda si mrefu maeneo ya Mbalizi ambapo zaidi ya magari
manne yamegongana na mawili kuteketea kwa moto na kupelekea zaidi ya
watu kumi kupoteza maisha na wengine 26 kujeruhiwa akiwemo mbunge wa
viti maalum Mary Mwanjelwa baada ya lori la mafuta kungonga magari
kadhaa katika eneo la Mbalizi,Wadau kwa picha zaidi ya tukio hili zima ingia http://mbeyayetu.blogspot.com/
Baadhi ya maiti zikiwa chini baada ya kutolewa katika magari hayo.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!