Effect Zero, kundi la wanadada wawili wanyamwezi toka arachuga wanadrop again na Anthem mpya "EffectZero" ikiwa ni ngoma ya hiphop inayowaelezea zaidi kama kundi kimziki,"this is a hiphop joint we recorded at noizmekah.com kwa def na we know y'all gonna love it"asema Simaloi.
Kundi hili lenye maskani yake pande za Njiro Arusha linafanya music kwa
lugha ya kiingereza na hii ni kwa lengo la kuteka soko la kimataifa
zaidi na wapo mbioni kushoot video ya kwanza ambayo bado haijafahamika
ni ya ngoma gani.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!