Cristiano Ronaldo, mwanae Cristiano Ronaldo Jr. na girlfiend wake
Irina Shayk katika likizo fupi St. Tropez, Ufaransa jana mchana!
Huyo ni Christiano ronaldo akiwa na familia yake wakati wa likizo fupi. Anasema anaipenda sana familia yake na hata mafanikio yake katika soka yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na upendo anaoupata kutoka kwao.