StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 7, 2012

MASTAA MAJUU JANA SEHEM MBALIMBALI DUNIANI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Katie Holmes akiwa anatoka kufanya shopping na mwanawe Suri mjini Manhattan, New York. Katie anategemea kuchana na mumewe  Tom Cruise hivi karibuni.
Adrien Brody na girlfriend wake Lara Lieto wakicheza katika boti jana South of France. Kwasasa wapo likizo. Aidha hapo walikuwa wakicheza mchezo wa kukimbizana na kisha baadae kuogelea.
Supermodel Alessandra Ambrosio anaeonekana kama ametoka kuamka akienda kwenye lunch date na mumewe  Jamie Mazur jana mjini Malibu ikiwa ni siku moja tuu baada ya kusheherekea uhuru.
Actress Elizabeth Olsen akifanya "filming" ya muvi yake mpya inayokuja kwa jina la 'Very Good jana mjini Brooklyn, New York. Kwa wasion mfaham dada huyu aliigiza katika muvi ya SILENT HOUSE iliyopata tuzo za heshima mwaka jana 2011.
Actress Lindsay Lohan akitokabar jana usiku mjini Santa Monica, California.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat