Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Kocha
mpya wa Yanga, Thom Saintfiet jioni hii amesaini mkataba wa miaka
miwili wa kuifundisha klabu hiyo na baada ya kusaini, akasema hakuja
Tanzania ‘kustarehe’ amekuja kufanya kazi na sera yake ni ushindi.
Anataka ushindi na mataji. Amesema jaribio lake la kwanza ni kutetea
ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, katika michuano
inayoanza Julai 14, Dare s Salaam (Habari kamili baadaye). Tazama picha
za kusaini kwake Mkataba makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya
Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA BIN ZUBEIRY
BLOG
|
Kulia ni Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa, katikati Thom anasaini. Kushoto The Don Seif Ahmad 'Magari' |
Thom akipeana mkono na magari
Wanahabari na baadhi ya wadau wa soka yanga
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!