Mwanafunzi
wa Shule ya Sekondari Boko na ambaye pia ni mwanachama wa Roots and
Shoots akipanda mti wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa miti wa
kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni ya Twiga Cement
(TPCC) uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Muasisi
wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (kushoto) na Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga Cement (TPCC), Pascal Lesoinne
wakitembelea kitalu cha miti wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa
miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo
uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Masoko na Mauzo wa Twiga Cement, Ekwabi Majigo (kulia) na Mkuu wa
Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo wakiwa na baadhi ya
wanafunzi wa shule za sekondari za Boko na Maendeleo, wakati wa uzinduzi
rasmi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji
ya kampuni hiyo, uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es
Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Twiga Cement (TPCC) wakimwangalia
mwanaserere sokwe wa Dk Jane Goodall wakati wa uzinduzi rasmi wa mradi
wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo,
uliofanyika…
Muasisi
wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (wa nne kushoto,
waliosimama), Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne
(kushoto kwake) na Meneja Mazingira wa kampuni hiyo, Juliet Mboneko (wa
sita kushoto) wakipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya
Twiga Cement katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!