Wabunge
wa Afrika Mashariki Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka burundi
wakibadilishana mawazo na na spika wa bunge la Afrika ya Mashariki,
Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza
mwanamke toka kuanzishwa tena EAC hapa wakiwa kwenye kikao cha kupanga
kazi za mwaka za bunge hilo katika Hotel ya East Afrikan jijini Arusha
Spika wa bunge la Afrika ya mashariki, Magreti
Nzziwa Nantongo akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango
kazi wa mwaka 2012-13 ya bunge la Afrika ya mashariki kwenye Hoteli ya
East African hotel jijini Arusha.
Mbunge wa bunge la afrika mashariki
Shyrose Bhanji Akipitia kwa makini makabrasha ya semina ya mpango kazi
wa bunge la afrika ya mashariki jana jijini arusha
Wabunge wa Bunge la afrika Mashariki
wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuanda mpango
kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha pichani
ni mwakilishi na mbunge wa bunge hilo shyrose Bhanji wakibadilishana
mawazo kabla ya kuanza kwa semina hiyo.Picha zote na
Mahmoud Ahmad Arusha
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!