StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 4, 2012

SPAIN WALIVYOPOKELEWA KISHUJAA NYUMBANI BAADA YA KUTWAA KOMBE EURO 2012

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
 


Mabingwa wa dunia na ulaya Spain waepokelwa kishujaa sana nyumbani baada ya kutwaa kombe la euro 2012 baada ya kuwa bwaga Italy 4-0. Hapa chini ya mfululizo wa picha na matukio ya shamra shamra hizo

 


Hapa wakiwasili uwanja wa ndege Spain..


 




Wakipokelewa na maelfu ya wananchi waliojipanga pembeni mwa barabara



 






 







Picha na Millionfortune.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat