Msanii
wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga
wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanjha wa
Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao
wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi
25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii
Mahiri wa Hip Hop Joh Makini akiwapagawisha ilivyo wakazi wa jiji la
Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika
uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma
kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma
ujumbe 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii
Machachari wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum akionyesha
umahiri wake wa kucheza wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la
Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini
humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda
mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Nyomi ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza katika Taamasha la Wajanja wa Vodacom.
Mtaalam wa Mitambo Haroun a.k.a Dj Run akifanya vitu vyake wakati wa Tamasha hilo.
Msanii
wa kizazi kipya Mabeste akikamua vilivyo na kuwapagawisha wakazi wa
jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika
katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma
kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma
ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na
twitter bure.
Msanii
wa kizazi kipya Nay wa Mitego akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga
wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa
Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao
wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi
25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Kampuni
ya Mawasiliano simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imefanya tamasha la
wajanja tour mwishoni mwa wiki hii mkoani Tanga ikiwa ni kukamilisha
msimu wa kwanza wa tour hiyo ambayo ilizinduliwa Dar Es Salaam na baadae
kufanyika Mji kasoro bahari morogoro, Mtwara na sasa Mkoani Tanga.
Akizungumza
na waandishi wa habari Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania
Matina Nkurlu alisema kuwa tamasha hilo lilifanyika katika uwanja wa
mkwakwani ikiwa ni katika kukamilisha msimu wa kwanza wa mfululizo wa
matamasha yaliyofanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania.
“Tamasha
hili la Mkoa wa Tanga katika uwanja wa Mkwakwani lilifanyika katika
kukamilisha msimu huu wa kwanza. Tunajipanga kwa ajili ya msimu wa pili
wa kutoa burudani kwa watanzania. Tunawahakikishia wateja wetu kuwa
tamasha hili halitaishia hapa, tunaangalia namna ya kwenda katika mikoa
mingine kwani watu wengi wamevutiwa na burudani wanayoipata hivyo
tunaangalia uwezekano wa kwenda mikoa mingine ya Tanzania bara na
visiwani,” alisema Nkurlu.
“Lengo
la Tamasha la Wajanja Tour sio tu kutoa burudani, pia ni njia pekee ya
kuwapa vijana nafasi ya kuonyesha vipaji vyao na kupata nafasi ya
kuendelea vipaji vyao zaidi kama ambavyo mmeshuhudia katika matamasha
mbalimbali vijana wengi wamepata nafasi ya kuonyesha vipaji vyao kwa
kuimba,” alisema.
Tamasha
la Wajanja wa Vodacom limekuwa na lengo la kuwahamasisha vijana
kujiunga na kupata huduma kutoka mtandao wa Vodacom Tanzania ambapo
kampuni hiyo imeanzisha huduma mbalimbali ambazo zinaweza kurahisisha
matumizi ya simu kwa kuongea kwa robo shilingi,kutuma ujumbe kwa
shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote hapa nchini na kuperuzi
facebook na twitter bure,Pia wateja wa Vodacom wananufaika sana na
huduma ya intanet hasa vijana ikiwemo ofa ya wajanja intanet inayompa
mteja huduma ya intaneti kwa shilingi 250 kwa siku, pamoja na ofa ya
simu za Nokia Asha kwa shilingi elfu sabini na tano tu.
source: mo blog
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!