MSOMI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku
huu ameibuka Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu katika shindano lililofanyika kwenye
ukumbi wa Club Maisha, Dar es Salaam. Katika shindano hilo, ambalo majaji wake
walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania, Fatuma Ramadhani wa Chuo cha Uandishi wa
Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya pili na Fina Recatus wa Chuo cha Usimamizi
wa Fedha (IFM) alikuwa wa tatu.
Aidha, Jane Maluli alikuwa wa IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii
alikuwa wa tano. Pichani ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa pili Fatuma na kulia mshindi wa tatu Fina.
|
Renatha Richard katika vazi la ufukweni |
Theresia Isaya |
Migeshi Boniface |
Viginia katika vazi la ufukweni |
Fatuma Ramadhani vaizi la zufukweni
Miss Dar Indian Ocean 2012 |
Washindi |
Majaji |
Bob Junoior akitumbuiza |
Wapenzi |
Viginia |
Warembo wakicheza shoo |
Warembo wakichezsa shoo ya ufunguzi |
Dj akifanya vitu vyake |
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!