Mkurugenzi mtendaji wa Mfuko wa
Asasi za Kiraia Foundation for Civil Society. Bw. John Ulanga akiongea
na washiriki wa mkutano huo juu ya ushiriki wa walemavu katika mchakato
wa katiba nchini Mkutano uliandaliwa na Asasi za kiraia za watu wenye
ulemavu nchini chini ya ufadhili wa The Foundation for Civil
Society.uliofanyika katika Hotel ya Umbungo Plaza leo jijini Dar es
salaam.
Mkurugenzi wa Haki za Bianadamu
kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora nchini, Bw;Francis Nzuki
akiongea na washiriki juu ya kazi za tume na wajibu wake kwa jamii ya
watu wenye ulemavu nchini.
Mmoja wa washiriki kutoka chama cha walemavu wa ngozi nchini akizungumzia changamoto wanazokabiliana nazo katika washa hiyo.
Mwanasheria na mmoja wa waliofanya
utafiti kuhusu hali ya utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa fursa na
haki kwa watu wenye ulamvau na sheria zilizopo nchini Bw;Crarence
Kipobotoca akiwasilisha utafiti kwa washiriki hao.
Baadhi ya washiriki walioudhuria mkutano huo wa siku tatu unaoendelea Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.