Meneja
wa bia ya Serengeti bw Allan Chonjo akiongea na waandishi wa habari
baada ya kuchezesha droo ya 12 katika promosheni ya ‘VUMBUA HAZINA CHINI
YA KIZIBO na SBL, kulia ni Tumainieli Mlisa kutoka PWC na kushoto ni
Bakari Maggid kutoka bodi ya taifa ya bahati nasibu.Washindi katika droo
hiyo ni Kosmas George Bugomora 41 kutoka mkoa wa Mwanza na
bw.Sebastian Temu 48 kutoka Dar es Salaam ambao wote kwa pamoja
wamejishindia jenereta huku bw.Deo Mkama 47 kutoka mkoani kilimanjaro
ambaye amejinyakulia bajaj mpya.
Meneja
wa bia ya Serengeti bw Allan Chonjo katikati akiongea na mmoja wa
washindi wa promosheni ya ‘VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL, kupitia
simu ya mezani,kulia ni Bakari Maggid mkaguzi kutoka bodi ya taifa ya
bahati nasibu, wengine ni wasimamizi kutoka PWC. Hii ni droo ya 12
katika promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo inayoendeshwa na
kampuni ya bia ya Serengeti kwa takriba wiki 15 sasa.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!