Mkurugenzi
wa Biashara Zantel upande wa Zanzibar Mohammed Mussa katikati akitoa
ufafanuzi juu ya kudhamini tunzo ya Wanamuziki Bora kutoka Zanzibar
kulia Meneja Masoko kutoka Kampuni ya Zanzibar Medium Corporación Said
Khamis na kushoto ni Afisa wa Zanteli Ibrahim Attas
Meneja
Masoko kutoka Kampuni ya Zanzibar Medium Corporación Said Khamis kulia
akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika
ukumbi wa Maelezo Zanzibar katikati ni Mkurugenzi wa Biashara Zantel
upande wa Zanzibar Mohammed Mussa. Picha na Abdulla-Maelezo Zanzibar
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!