Ndege
mpya ya Precision Air aina ya Boeing 737-300 ikiwa katika uwanja wa
ndege wa kimataifa Julius Nyerere tayari kwa kufanya safari yake ya
kwanza kuelekea Lusaka, Zambia kupitia Lubumbashi – Congo DRC mapema
leo.
Taswira
ya ndani ya Boeing 737-300 iliyowasili wiki iliyopita toka Nairobi,
Kenya ilipokuwa ikibadilishwa muonekano wake kwa kupakwa rangi za
Precision Air, pamoja na kuipatia kibali cha kuruka katika anga za
Tanzania na kimataifa pia.
Sehemu
ya mkia wa ndege hiyo inayo onyesha usajili wake nambari 5H-PKS.
Precision Air pia ina ndege Boeing 737-300 mbili zingine zenye usajili
5H-PMS na 5H-PAZ. Kwa ujumla sasa shirika hilo la ndege 12; ATR 72-500
tano, ATR 42 -500 mbili, ATR 42 -320 mbili na B737 -300 tatu.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!