Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Jamaa mmoja alimpa mimba binti wa kichaga. Baba wa binti huyo allikasirika sana na akapanga njama za kumuua huyo kijana kwani hali ya binti yake ilimtia aibu sana. Basi yule alimpa binti mimba akatuma salamu kwa mkwe wake (baba wa binti) kuwa binti yake akijifungua mtoto wa kiume atamzawadia mzee sh. billioni 1, na akijifungua mtoto wa kike atampa mzee sh. million 100 na duka kariakoo, ila likazuka swali kuwa je mtoto akifariki kabla ya kuzaliwa itakuwaje?
Majibu ya mzee; AISEE BABAANGU, ITABIDI UMPE MIMBA NYINGINE HAKUNA JINSI!
August 8, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!