MAMA NA MWANAE WAKIJIPANGA KUTENGENEZA UPYA MAKAZI YAO BAADA YA KUBOMOLEWA NA MAFURIKO
MWANA MAMA ALIYENASWA KATIKA KINA KIREFU AKIOBA MSAADA
WANANCHI WA HAITI WAKIKAGUA MAKAZI YAO YALIYOBOMOLEWA NA MAFURIKO LEO
FAMILIA IKIJIEGESHA KATIKA NYUMBA ILIYOBOMOKA KUTOKANA NA MAFURIKO HAYO
MZEE ANAYEKADIRIWA KUWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA 70
UPEPO WA KIMBUNGA UNAOSABABISHA MAFURIKO HAYO KAMA INAVYOONEKANA KUTOKA ANGANI
BAADA YA KUKUMBWA NA TETEMEKO MIAKA YA HIVI KARIBUNI HAITI IMEENDELEA KUKUMBWA NA MITIKISIKO MIKUBWA BAADA YA KIMBUNGA ISAACK KUSABABISHA MAFURIKO MAKUBWA NA NA KUWAANCHA WANANCHI BILA MAKAZI NA KUPOTEZA MALI.
PICHA KWA HISANI YA REUTERS
PICHA KWA HISANI YA REUTERS
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!