StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

August 23, 2012

PPF YATOA MSAADA VITABU NA VIFAA VYA MICHEZO SEKONDARI YA WILIAM LUKUVI PAWAGA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Mbunge wa jimbo la Isimani Mhe.Wiliam Lukuvi (kushoto) akipokea vitabu kutoka kwa meneja wa mawasiliano wa PPF Bi. Lulu Mengele
Mbunge Wiliam Lukuvi (kushoto) akipokea vifaa vya michezo jezi na mipira ambayo PPF imeitoa kama wajibu wake wa kushirikiana na jamii kulazimika kutoa vifaa hivyo na vingine kwa shule ya sekondari vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya TSh. milioni 6.8
Mbunge Lukuvi akifurahia vifaa vya PPF vilivyotolewa jimboni kwake
Wananchi wakishuhudia makabidhiano hayo ya vifaa vya michezo

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat