Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Dk Salim Ahmed Salim na Viongozi mbali
mbali,wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Karume Pemba jana akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na
Kaskazini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein,wakisalimiana na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali,
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba jana akiwa katika
ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakuu wa
Vikosi vya Ulinzi Pemba, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba jana akiwa katika ziara maalum ya mikoa ya Kusini na
Kaskazini.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!