Mwanasheria
wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi
(kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam Katika moja ya
mikutano na wakazi hawio kuhusu maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu
ya Tanzania na kwa mujibu wa kesy namba 44 ya mwaka 2012 taarifa
zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa wakara wa usafiri wa haraka 'DART'
kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka amri ya Mahakama
Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012 hivyo mnashauliwa kuto tii agizo hilo
pia waanga wa bomoa bomoa wanalifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na
wakili ni tarhe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao
Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi
SOURCE: TONE ONLINE RADIO
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!