StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

August 21, 2012

YANGA NDANI YA IKULU USO KWA USO NA RAIS KIKWETE, MANJI, MAMA KARUME KUFUNGUA TAWI RWANDA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Kikosi cha Yanga na Kombe la Kagame

Na Prince Akbar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakata Mrisho Kikwete amewapa mwaliko mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati mara mbili mfululizo, Yanga SC kupeleka Kombe lao Ikulu.
Rais Kikwete
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Yussuf Mehboob Manji amesema kwamba wanashukuru kwa mwaliko huo na watakwenda huko, wakirejea kutoka Rwanda ambako kikosi chao kinakwenda jioni hii.
Manji pia alisema wanatarajia kufungua tawi la klabu yao nchini Rwanda, kufuatia uhusiano mzuri uliopo, baina ya klabu hiyo na nchi hiyo kwa pamoja na rais wake, Paul Kagame.
Manji alisema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari leo, makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ta Twiga na Jangwani, Dar es Salaam kuhusu mwaliko wa mabingwa hao Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame kutoka kwa rais wa Rwanda, Kagame.
Manji akizungumza na wachezaji wa Yanga
“Tunategemea kufungua tawi jipya la Yanga nchini Rwanda, hiyo itasaidia kuongeza wanachama nje ya nchi kwa kuanzia na Rwanda,”alisema Ofisa huyo Mtendaji Mkuu wa Quality Group Limited.
Yanga itakua Rwanda kwa wiki moja kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na wakiwa watacheza mechi tatu za kirafiki dhidi ya Rayon Sports, Polisi na APR.
 
Kuhusu mchezaji mpya aliyesajiliwa kutoka FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat