StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 7, 2012

ASKARI WA JWTZ WALIOFARIKI SUDAN WAAGWA LEO

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu

 Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
 Katibu mkuu wizara ya ulinzi  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange   akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
 Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat