BREAKING NEWS: WAISLAMU WALIVYOANDAMANA LEO HADI WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Umati wa Waislamu ukiwa umekusanyika nje ya Wizara ya Mambo ya Ndani Hivi punde kushinikiza wenzao waliokamatwa baada ya kugomea zoezi la Sensa.Habari na picha zaidi zitawajia hapo baadae.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!