StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 7, 2012

DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA WATU WA KOREA (KOREA BUSINESS CENTRE) JIJINI DAR ES SALAAM JANA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam jana Sept 06, 2012.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa na wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam jana Sept 06, 2012.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam jana Sept 06, 2012.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat