Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Wafanyabiasha wadogowadogo maarufu kama wamachinga ambao walivamia maaneo
ya kufanyia biashara, katika eneo la stendi ya zamani ya Kilombero. Wamachinga hao bado mpaka mchana huu wameonekana wakitapakaa maeneo hayo licha ya kuzuiwa na vyombo husika mpaka muafaka utakapopatikana kuhusu eneo watalopewa kufanyia biashara zao rasmi.
September 28, 2012
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KWA SASA BAADA YA WAMACHINGA KUVAMIA ENEO LA MTU KILOMBERO ARUSHA
Millionfortune.com
JAMII
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!