Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Promotion, Sponsorship & PR Specialist wa kampuni ya Simu za Mkononi za TIGO Bw. Edward Shila (katikati) akifafanua kuwa ‘Tigo Mama Africa Circus’ itatoa burudani kati ya tarehe 27 Septemba mpaka 04 Novemba mwaka huukatika kituo cha Manicom kilichopo katika viwanja vya ukumbi wa sinema Mwenge. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Manicom Entertainment Bw. Costantine Magavilla na kulia ni Afisa Mahusiano wa TIGO Bi. Alice Maro.
Costantine Magavilla, Afisa Mahusiano wa TIGO Bi. Alice Maro na Edward Shila wakifurahia kwa pamoja na sanamu la ‘Tigo Mama Africa Circus’.
September 6, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!