StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 6, 2012

BREAKING NYUZZZZZZ: WATU 6 WAHOFIWA KUFA WILAYANI RUANGWA BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI MGODINI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


Taarifa iliyoifikia Globu yetu hivi punde toka Ruangwa Mkoani Lindi,inatuahabarisha kuwa watu wapatao 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi.


Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea kufanywa katika hali ya ugumu kutokana na Ukosefu wa zana/vifaa vya kuokolea.


Hadi muda huu Kufuatia harakati hizo ni Maiti Moja tu ndio imeweza kupatika.....


Globu ya Jamii inaendelea kufuatilia tikio hilo kwa ukaribu na Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia hapa hapa.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat