Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu ncini China Bibi Wong Young Hong,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu ncini China Bibi Wong Young Hong,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!