Kulingana na matokeo autopsy yaliyotolewa na serikali ya jimbo la IMO, imegundulika kuwa wanafamilia hao walikufa kwa sumu iliyotokana na moshi wa jenereta.
Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Dk Obi Njoku, alizungumza hayo juzi wakati akizungumza na kituo kimoja cha redio kwa njia ya simu.
Alisisitiza kwamba familia hiyo ilisahau kuzima jenereta yao wakati walipolala na jenereta hiyo ilikuwa ndani na hatimaye kufa kutokana na moshi wa jenereta kuvutwa wakati wamelala.
Dk Njoku alisema kuwa dhana kwamba wanafamilia hao waliuawa na 'mashetani' ilikuwa si kweli, na kusisitiza kwamba wakati alipotembelea eneo la tukio na maafisa wa afya katika asubuhi ya tukio, alijionea mwenyewe
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!