Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Dr. Mary Nagu akuongea katika East Africa Chamber of Commerce Conference Dallas, TX USA Dr. Mary Nagu ni Minister of. State Prime Minister's Office Investment and Empowerment alikuwepo kuwakirisha uko Dallas, TX USA.
Elkanah Odembo is Ambassador of the Republic of Kenya to the United States, nae alikuwepo katika mkutano huo.
Eng. Musa Ndeto, The Chairman of the Board of Directors, akiongea kwenye mkutano huo
Dr. Enos Bukuku (EAC) Deputy Secretary General
Picha ya pamoja siku ya mwisho ya mkutano Dallas, TX
Mh. Dr. Mary Nagu akipata picha ya pamoja na viongozi na washiriki waliohuzulia East Africa Chamber of Commerce Conference.
Mkutano huo ulipambwa na ngoma ya utamaduni wadada wa kutoka Burundi
October 16, 2012
EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE CONFERENCE
Millionfortune.com
JAMII
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!