Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Mdau akichukua card kuonyesha msisitizo wa ukweee
mkutano ukiendelea
chezeya CHADEMA UK weyeee..high tebo hio
Makamanda wa CHADEMA wakiwa makini kabisaa...
wamama wa kisikiliza kwa msisitizo wakati wa mkutano huo
Wadau mbali mbali waliohudhuria mkutano wakisikiliza kwa makini yaliyokuwa yanajiri
Makamanda wakiwa katika picha ya pamoja
October 16, 2012
MKUTANO WA VIONGOZI WA CHADEMA KUTOKA TANZANIA NA WADAU WA CHADEMA UK
Millionfortune.com
SIASA
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!