StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

October 18, 2012

RAIS KIKWETE AKIWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UZINDUZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, watatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh na kulia ni afisa mwandamizi ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bwana Abdallah Kilima.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,watatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman,bwana Ali Ahmed Saleh, wane kulia aliyeshika karai ni ofisa mwandamizi ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bwana Abdallah Kilima na kulia anayeshuhudia ni ofisa katika ubalozi wa Tanzania oman Bwana Saidi Mussa

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat