StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

October 3, 2012

Taswira za Jinsi Basi la Dar Express Lilivyowaka Moto Njia Panda ya Dar,Arusha,Tanga(Segera)

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Basi la Dar Express limepata ajali ya kuungua moto JANA asubuhi katika njia panda ya Dar, Arusha, Tanga (Segera) hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Katika ajali hiyo mizigo yote iliteketea kwa moto huo ambapo abiria wengi waliokuwamo kwenye gari hilo walikuwa ni wanafuzi.Picha na Samweli Mikuza

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat