Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Jiji la London litakuwa mwenyeji wa michuano ya mwaka 2012 ya Olimpiki.
Je London imejiandaa vipi na michuano hiyo? fuatilia maandalizi na
matayarisho ya viwanja na wachezaji
Aidha pia Kamati ya maandalizi ya olympiki London 2012 imesema mfumo wake wa uuzaji tiketi za michuano ya Olimpiki wa mara ya pili utaanza tena hivi karibuni