Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salam Saidi Meck Sadik (kulia) akipokea mwenge wa
Uhuru kutoka kwa mmoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bi. Tatu Saidi
Mussa leo jijini Dar es Salaam . Mwenge wa Uhuru umewasili jijini
Dar es Salaam ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba
|
Mkuu
wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiahidi mbele ya mkuu wa mkoa wa Dar es
Salaam Saidi Meck Sadik kuupokea Mwenge wa Uhuru na kuukimbiza katika maeneo
mbalimbali ya wilaya hiyo ambapo miradi 11 itafunguliwa na kuwekewa mawe ya
msingi.
|
|
Baadhi
ya wafanyakazi na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam waliojitokeza kuupokea
Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo.
|
SOURCE: THIS DAY MAGAZINE
|