Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Mchezaji wa Filamu kutoka nchini
Naigeria Omotola Jalade katikati akiwa katika picha ya pamoja na
mwigizaji Wema Sepetu kushoto na Khadija Mwanamboka pamoja na watoto
yatima wa kituo cha Tanzania Mitindo House cha jijini Dar es salaam
Omotola amekuja nchini maalum kwa ajili ya uzinduzi wa filamu ya Wema
Sepetu Super Star ambayo imezinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat
Kilimanjaro jijini Dar es salaam
June 25, 2012
WEMA & OMOTOLA WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget