Mheshimiwa Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini akiongozana na viongozi wa tawi la CCM jijini Washington DC.
|
| Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota , North Carolina, New York na Texas. |
| Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiliza risala ukumbuni hapo. |
| Mwenyekiti wa tawi la CCM Washington DC, Loveness akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC. |
| Mh. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa kuzindua tawi la Washington DC |




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!