Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu
ya Barcelona wakishangilia mara baada ya mchezaji wao kufunga goli zuri
katika dakika tisini dhidi ya timu ya Mashabiki wa timu ya Chealsea
katika mchezo wao wa fungua dima kwenye bonanza la Serengeti Fiesta
Soccer Bonanza linalofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi
mkoani Kilimanjaro mchana huu.
|
Kikosi cha timu ya mashabiki wa Manchester kikiwa katika picha ya pamoja. |
Kikosi cha Manchester City kikiwa katika picha ya pamoja. |
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Chealsea na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wao wa fungua dimba ambapo timu ya Barcelona imeshinda goli 1-0 dhidi ya Chealsea. |
Kikosi cha mashabiki wa timu ya Barcelona kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo. |
Wachezaji wa timu ya Arsenal wakisubiri mchezo wao kuanza . |
Timu ya Bayern Minicheni wakisubiri kuanza kwa mchezo wao. |
Timu ya mashabiki wa Chealsea wakiwa katika picha ya pamoja . |
Eneo hili likiwa limeandaliwa kwa ajili ya mashabiki maalum wa timu za mashabiki mbalimbali wa timu za Ulaya |
Huduma ya kwanza imeimarishwa ili kuhakikisha wachezaji na mashabiki watakaopata matatizo yeyote katika bonanza hilo wanahudumiwa ipasavyo. |
Mashabiki wa timu ya Barcelona wakiwa na jezi ya timu hiyo |
Mashabiki mbalimbali wakiangalia matukio mbalimbali katika bonanza hilo |
Mashabiki wa Machester United wakiangalia timu yao haipo pichani wakati ilipokuwa ikicheza. |
Mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga wa Mbwiguke akimpa kipaza sauti Said Bonge pia wa Kipindi cha Power Breakfast. |
Mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga wa Mbwiguke akiongea na mwalimu wa timu ya Chealsea ambaye aliamua kujipoza na muwa mkuuubwa mara baada ya kufungwa goli moja kwa bila na Barcelona katika mchezo wa fungua dimba. |
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!