Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Kama mmoja wa mastaa wakali wa Hollywood, Tomm Cruise hivi karibuni amkeumbwa na misukosuko katika ndoa yake. Katie Holmes mke wa Cruise kwa muda wa miaka mitano sasa alifungua jalada la kuvunja kwa ndoa yao mnamo 29 Juni mjini New York wakati mumewe akiwa anaandaa movie yake mpya itakayo tua sokoni ya Oblivion huko nchini Ireland. Aidha Tomm Cruise amekiri hakujua hayo yote yangetokea na imemvunja moyo sana. Aidha pia imeripotiwa kuwa Holmes anafanya mpango abaki na mtoto wao wa kike Suri mwenye miaka sita sasa.
Hebu tuangalie picha zao kipindi cha nyuma...
Hapo ni siku ya ndoa yao Baba wa Katie, Mr Martin Holmes akienda akiongozana na binti yake
Hapo ni Tom na Katie baada ya "mmetangazwa bwana na bibi" lile kiss laaa..."it will last forever"
Hapo wakikata keki kwa furaha siku ya harusi yao iliyofana ndani ya Odescalchi Castle mjini Bracciano, Italy
Hapo wakiwa pamoja katika moja ya hafla mjini New York, Marekani
Hapo Katie akiwa na mwanawe Suri Mjini Chelsea Uingereza