OUR TAKE; Inakatisha Tamaa! Ni habari gani ya kweli? Au tumuamini nani tena? Ni chombo gani huru kwasasa kinachoweza kuripoti ukweli na kutanguliza utaifa kwanza! Au mpaka pale tutaheshimiana na kuthaminiana kama wanadamu ndipo kila mmoja wetu ataweza kujivunia utaifa wake!!Hii haikubaliki kabisa…. Kwa picha hizi na taarifa ya serikali kuwa mgomo umekwisha Napata hisia kuwa Sasa Tanganyika hatuna budi kujivunia mafanikio tuliyo yapata kwa upande wa AFYA kama tumeweza kutokomeza maradhi kiasi cha wodi zote kubaki tupu!!!! pongezi sana kwa serikali yetu japo mnaikejeri mnasema ni DHAIFU. Sasa mmejionea wenyewe, na baada ya mafanikio aya kwa upande wa AFYA sasa nguvu zetu zote tunazielekeza kwenye ELIMU.
July 5, 2012
NI KWELI MGOMO UMEKWISHA AU PROPAGANDA ANGALIA TASWILA YA MUHIMBILI JUMATANO JULY 4, 2012
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!