Rita Paulsen na Salama Jabir wa tatu kutoka kulia, wakiwa pamoja na wafanyakazi wa Zantel.
Rita Paulsen na Mkuu wa Masoko kutoka Zantel bwana . Deepak K. Gupta.
Salama jabir kulia..
Master J
Madam rita akizungumza na wahudumu katika banda.
Mkuu
wa mawasiliano ZANTEL Awaichi Mawalla alipata nafasi ya kuelezea njia
mpya ambayo wenye vipaji vya kuimba waliokosa nafasi ya kufanya usaili
wanaweza kufanya usaili kupitia simu zao za mkononi. Mfumo huu ni wa
sauti ambapo mshiriki anapewa nafasi ya kuimba nyimbo aitakayo kwa muda
usiiozidi dakika moja na kuweza kupata nafasi ya kusikilizwa na Majaji.
Majaji wa EBSS walipata nafasi ya kutembelea kujionea maonyesho yanaondelea ikiwa ni pamoja na kukutana na waandishi wa habari kuelezea waliyoshuhudia katika usaili wa mikoa mitatu waliyopitia ya Dodoma , Zanzibar na Lindi . Pia waliweza kutoa sifa wanazoziangalia katika kutafuta vipaji vya muziki pamoja na kueleza eneo la usahili unaofuata wiki hii A town Arusha
Triple A.
PICHA NA http://millardayo.com




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!