Yusuf Manji akipiga kura yake leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee.
Pichani juu: Wanachama wa klabu ya Yanga wakipiga kura kuwachagua viongozi wao leo.
Wanachama wa klabu ya Yanga leo wamefanya uchaguzi wa viongozi wao
kwa ngazi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe wa Kamati ya
Utendaji ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam kama
inavyoonekana pichani juu.source: www.globalpublishers.info
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!