Watu wa
Injili 11 wamekufa papo hapo na wengine wanane hoi Muhimbili baada ya kutokea
ajali umbali mfupi kutoka Wami wakija Dar es salaam kwa kutumia magari ya
kukodi.
Tayari
watu wa Kenya wameagiza ndege kuja kuwachukua majeruhi wao.
Wakati
Wakenya hao wamepata kadhia hiyo ambapo
lori liligonga mabasi na kisha kugongana na lori jingine uso kwa uso morogoro
kuna ajali ya mabasi matatu.
Habari
zinasema kwamba majeruhi walifikishwa Tumbi kwa stabilization na sasa wapo
Muhimbili.
Wakati
ajali ya Wami imeua huko Morogoro wauguzi wa zamu katika Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Morogoro, walikuwa katika hekaheka kubwa ya kuuguza majeruhi 29 kati ya
50 waliotokana na ajali za mabasi eneo la Makunganya, Wilaya ya Morogoro kwenye
Barabara kuu ya Morogoro- Dodoma .
Ajali
hizo zilihusisha basi la Shabiby, Allys na Sumry. Maelezo na picha zitafuata baadae
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!